Saturday, July 25, 2009

DATA ZA MREFU KULIKO HASHIM THABIT HIZI HAPA!




Huyu mchizi anaitwa Baraka Magesa au maarufu kama 'Baraka Tolu' ana umri wa miaka 18 ana urefu wa futi 7.4 akiwa amepita tolu wetu Hashim Thabit ambaye ana futi 7.3. Naye anacheza mpira wa kikapu alikuwepo kwenye maonyesho ya sabasaba akionyesha shoo ya basketball. Na yeye ana ndoto za kwenda kucheza NBA..

Kwa habari zaidi za huyu bingwa link ni hii:NIFAHAMISHE.COM

Hashim Thabit

No comments: