Tuesday, November 17, 2009

NELLY AFANYA KUFURU!





Yuko kimya kwa muda mrefu katika anga za muziki, lakini mambo yake bado supa kiasi cha kufanya kufuru ya kufa mtu katika birthday yake aliyoifanya mwishoni mwa wiki iliyopita. Huyu si mwingine bali ni Nelly! Katika pati hiyo kulikuwa na strippers ambao walikuwa wakimwagiwa dola mtindo mmoja hadi ndani ya chupi na wengine kuwekewa katikati ya makalio...mastaa kibao walikuwepo kama vile JD, Ocean 7, Aries Spears na wengine.... ilikuwa ni kula bata kwa kwenda mbele!!!

1 comment:

Anonymous said...

Jamani kwa nini nilikosa?
si unajua wabongo kwa mshiko!!!
NELLY Mwakani na mimi usinisahau.

disminder