Monday, December 14, 2009

HEBU TUMKUBUKE MJ!

....akiwa na Britney Spears ambaye alikuwa miongoni mwa wasanii waliomuiga hata uchezaji wake jukwaani!
...akiwa na Usher ambaye siku zote alimuona Michael kama Role Model wake

..akiwa na swahiba wake mkubwa, Elizaberth Taylor, ambaye aliongozana nae katika hafla nyingi
...Chriss Tucker naye alikuwa miongoni mwa celebrities waliomzimia Michael

Enzi zake, Maskani haya ya Michael ya Neverland Valley Ranch yenye eka 2,800 yalikuwa na zoo ya wanyama, amusement park, michezo mbalimbali ya watoto pamoja na mabembea ya kila aina...MASIKINI MICHAEL! PUMZIKA KWA AMANI!

1 comment:

Anonymous said...

we acha tu, tunamkumbuka sana...