Tuesday, December 15, 2009

KANUMBA AJA NA 'SATURDAY MORNING', 'THE HERO OF CHURCH'



Nguli wa filamu Bongo, Steven Kanumba, anatarajia kuachia filamu 2 kwa mpigo hivi karibuni. Kwa kuanza, Jumatatu ijayo anaachia 'Saturday Morning' iliyowashirikisha wasanii maarufu wa Bongo na kisha itafuatiwa na 'The Hero of Church' ambayo imejumuisha pia mastaa kibao kutoka Nigeria. Kama kawaida, kali zote hizo zitapatikana chini ya usambazaji wa Game1st Quality ya jijini Dar!

No comments: