Wednesday, December 16, 2009

WAMEPENDEZA!!



Kina dada wamependeza eh! Unaweza kuniambia ni akina nani na wako wapi wanafanya nini kwa sasa?

4 comments:

Anonymous said...

Duh!!! hizi picha ni zamani sana!!!! i think wadau wa DC

Anonymous said...

wa hapo juu mgogo wazi na ovalori kana vile ni ni m2 na mpenziwe au wasagaji ni habari kamili

Anonymous said...

Duh ni picha za zamani sana na kitchen party ilifanyika dar ilikuwa mbaya kupita kiasi sijawahi ona.

Anonymous said...

huyo kwenye picha ya kwanza mwenye kiblauzi cheusi namfananisha na dada mmoja (E. Nchimbi) nilisomaga nae morogoro.

wadau anaejua alipo tafadhali

Dublin