
Unawfahamu kuwa kinyume cha Mjomba ni Shangazi, so that janki wa Komedi ni wazi wanaingia kwenye himaya ya Mpoto ambaye kutokana na umahiri wake wa kimashairi, misemo na methali ameweza kujipatia umaarufu mkubwa.
Katika ngoma hiyo ya Mpoki, jamaa anatambaa njia kwenye njia ya Mpoto lakini anajichukulia credit kwa sababu anaghani kwa mtindo wa kuchekesha zaidi.
Je, Mpoki anaweza kulisimamisha soko la Mpoto? Mdau toa maoni yako, tuma ujumbe mfupi wa maneno kwenda namba 0787 110 173 kisha utajisoma hapa wiki ijayo.
**********************
No comments:
Post a Comment