Saturday, April 24, 2010

MGAHAWA MPYA BAGAMOYO!


MGAHAWA WA BAHARI VIEW BAGAMOYO NI MPYA UPO BAGAMOYO KARIBU NA POSTA YA ZAMANI AMBAPO IPO KARIBU NA SOKO LA SAMAKI LA BAGAMOYO KARIBU NA BAGAMOYO CINEMA, TUNAUZA CHAKULA KUANZIA KIFUNGUA KINYWA ASUBUHI , LUNCH MCHANA , NA DINNER USIKU , VYAKULA VYETU NIVYA ASILI YA KITANZANIA NA BEI ZETU NI BEI ZA KAWAIDA SIO BEI ZA KITALII , NA PIA TUNAPOKEA ODA KWA WANAFUNZI,FAMILIA AU WAGENI WOWOTE WANAOKUJA KUTEMBELEA MJI WA BAGAMOYO KWA KUWAPIKIA CHAKULA WANACHOTAKA NA KWA WAKATI ... NJOO UJIONEE MWENYEWE, KWA PICHA ZAIDI TEMBELEA

No comments: