Monday, May 17, 2010

FASHION POLICE: NANI ALICHEMKA, NANI ALIFUNIKA KILI AWARDS?

Hii ndiyo RED CARPET ya KILI MUSIC AWARDS 2010, angalau kwa mara ya kwanza imefanyika Bongo! Nataka unimbie mambo mawili tu, nani ALICHEMSHA kimavasi KULIKO WOTE na nani ALIFUNIKA kimavazi KULIKO WOTE! Eleza na sababu. Be a fair Police Officer in Fashion!

mwanadada wa mjini Mange Kimanmbi (kushoto) na mwenzie

mtangazaji wa tbc1 Lisa (kulia) na mwenzie

mtangazaji wa tbc1 Musa na wife

wakongwe wa muziki Mzee mapili (kushoto) na mzee king kikii

bosi wa miss tanzania, uncle lundenga na bosi mwenzie

Miss Tanzania wa zamani, Basila Mwanukuzi

mwanamuziki toto ze bingwa

wanamuziki, mzee zahir na binti yake, maunda zorro

msanii chipukizi Pipi (kushoto) na patna wake

msanii wa hip hop, johmakini

mwanamuziki bora wa hip hop chidi benz

mwanamuziki banana zorro na wife

mkurugenzi wa masoko vodacom, ephrahim mafuru

rapa bora wa bendi, khalid chokoraa na patna wake



prdocer bora wa muziki, Lamar

mr dar handsome mwinyi na mwanamuziki mrisho mpoto (kushoto)


mtangazaji wa tv, joyce kiria

mtangazaji wa magc fm radio, mishi bomba na husband

mtangazaji wa magic fm na channel ten, salma msangi na husband

mchezaji mpira wa kikapu nchini marekani, hasheem thabeet na mama yake

wanamuziki wa bongo fleva, marlaw na besta

mtangazaji wa tv, maimatha jesse

msanii chipukizi bora, diamond

mchekeshaji orijino kemedi,

msanii wa hip hop commercila, A.Y


mchekeshaji wa orijino komedi, wakuvanga

msaniii wa hip hop, profesa jay

mtangazaji wa radio times, dida

kiongozi wa fm academia, nyoshi elsaadat

msanii wa hip hop, mwana FA

msanii wa hip hop, C-Pwaa

rapa wa african stars - furgason

mwimbaji wa fm academia - jose mara

3 comments:

Nonino said...

kwa wanawake mish bomba/Maunda Wamefunika na kwa wanaume Profesor Jay/Marlow Wamefunika...WALOCHEMKA ni Pipi

Anonymous said...

ebu tupeni the best and worst dress of Kili music award 2010

Anonymous said...

kwa changu alie tia fora ni mwenye m,tumbo kama .................. lea kinyani chako na uache kutaka umarufu kupitia wengine