PICTURE OF THE EVENT!
Kiss hili kati ya movie stars Sandra Bullock na Scarlett Johansson limeacha gumzo baada ya kupigana live on stage wakati wa utoaji tuzo za MTV Movie wikiendi iliyopita nchini Marekani....unaweza kuhisi nani hapo analiwa denda..!!
2 comments:
Anayeliwa denda ni mwenye nguo ya kijani
scarlet johnson
Post a Comment