Thursday, November 4, 2010

NI MTAZAMO TU!


Dear friends,
Nimesoma kwwenye vyombo vya habari kuwa silaa anataka kukataa matokeo. Mimi binafsi ni mdau wa mabadiliko katika siasa za Afrika na napenda sana kuona demokrasuia ikikua. Ninachoona mimi ni kuwa tunatakiwa watu wapendao mabadiliko hayo kupitia kwenye vyama au taasisi zenye ushawishi katika jamii, kutumia muda mwingi zaidi kuelimisha wananchi waelewe ni nini maana ya uchaguzi na nini maana ya uongozi na nini maana ya majukumu ya kiongozi na majukumu ya mwananchi. Tunahitaji sana hili ili ifike mahali kwamba mtu anachagua kiongozi kutokana na uwezo wake na sii tu suhabiki wa kwenye chama. Pia tuweze kufikia mahali kuwaacha watu for no good reason (malechela, Getrudi Mongela, Mramba)..hakuna mtu aliyezaliwa kutawala milele!!!
Kutokana na hilo basi naomba kabisa kumshauri Dr Silaqa akubali matokeo.. bado speed ya kuelewa mabadiliko haijafahamika kwa watu, even in Arusha, Kilimanjaro, Mwanza na kigoma!!! sembuse Pwani, Dodoma, Singida, Mtwara etc

nawatakia uchambuzi mwema..
cheers!!

Pax Masimba Pax Jessey Department of Medical Parasitology and Infection Biology Swiss Tropical and Public Health Institute University of Basel Socinstrasse 59 4051 Basel Switzerland E-mail: Pax.Masimba@unibas.ch Mobile: +41783075460

1 comment:

Anonymous said...

Nadhani anaruhusiwa kupinga matokeo kabla NEC haijatangaza mshindi rasmi.Kwa mtizamo wangu Slaa hajakosea kupinga matokeo ndani ya kipindi hiki.