Monday, January 10, 2011

OFF SIDE _TRAILER


Hii ni sinema mpya ya Kanumba, Ray na Irene ambayo inabamba kitaa kwa sasa, inajulikana kwa jina la OFF SIDE!

1 comment:

Anonymous said...

Hivi kuongea kwa kufoka ndo wanadhani ni good acting??? Na hizo bakora ka wanaigeria ndo nini?? jamani acheni kuiga Nigerians..wao ndo wanavyoongea as if wanafoka. Ila waTZ tumezidi be natural sio lazima ufoke kuonyesha msisitizo wa jambo.