Sunday, January 9, 2011

WIMBO Oyoyo


Huu ni miongoni mwa nyimbo za Bongo Flava zinazobamba kwa sana hivi sasa. Unajulikana kwa jina la Oyoyo, mwimbaji anajulikana kama Mr. Chocolate a.k.a Sharobaro au yeye mwenyewe anajiita President wa Masharobaro wote! Najua unajua pia kuwa huyu ndiye producer aliyemtoa Diamond, ndiye aliyetengeneza wimbo Mbagala, n.k...ni miongoni mwa ma producers wachache sana wenye uwezo wa kutengeneza muziki na wao wenyewe kuwa waimbaji wa kiwango cha juu!

No comments: