Monday, February 28, 2011

HARAMBEE YA GONGO LA MBOTO LONDON ILIVYOFANA

WAKURUGENZI WA SERENGETI FREIGHT WAKITOA MCHANGO WAO
WADAU KUTOKA PANDE ZOTE ZA LONDON WAKIWA KATIKA HARAMBEE
MR & MRS KAMWANO SABUNI WAKIKABDHI MCHANGO WAO
MDAU FREDDY MACHA ALKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUCHANGIA
MDAU ALI HAMISI NA RAFIKI YAKE WAKIKABIDHI MCHANGO WAO
MDAU ABUU FARAJI AKIPEWA MKONO WA ASANTE
LEMNA NA WATOTO WAKE WALIKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUCHANGIA

Salaams,
Tunapenda kutoa shukrani zetu za Dhati kwa watanzania wote waishio LONDON UK walioweza kufika jana jioni AFRICAN VILLAGE BAR & RESTAURANT kuchangia waathirika wa Gongo la Mboto Tanzania. Kwa mda wa masaa mawilitumeweza kukusanya Jumla ya pesa taslim Pounds £600, pia tumekusanya Nguo nyingi kutoka kwa watu mbalimbali na vifaa vingine mbali mbali.

Ningependa kutoa shukrani za dhati kutoka URBAN PULSE,MISS JESTINA BLOG,AIL TV, LOCUS IMPEX SHIPPING CO, SHILLA FRISCH, NA Utawala wa AFRICAN VILLAGE BAR & RESTAURANT LONDON kwa kusaidia na kuwezesha kufanikiwa kwa zoezi la jana.

Mungu Ibariki AfriKa, Mungu Ibariki Tanzania
Asanteni

2 comments:

Anonymous said...

Jmani Jestina amejichubua sana, mbona haya mambo ya aibu?

Anonymous said...

Watu wail kosa kazi! Wana ache kulenga shughuli Jestina na wenzake waliyo ifanya wanabaki kuungalia amebas nini na anaonekanaje! Je na motto wake kamchubua pia.. Maana baba ya motto ni black