Tuesday, February 1, 2011

Mtandao wa Afya

TanzMed ni mjumuiko wa wataalamu wa fani mbalimbali za Afya wa kitanzania ambao wamejitoa katika kuhakikisha kuwa jamii ya kitanzania na Afrika kwa ujumla inafaidika kwa kupata habari na ushauri juu ya masuala ya afya yanayozunguka jamii hizo. Lengo kuu la tovuti hii ni kuleta mwamko kwa Watanzania katika kufahamu umuhimu wa kuwa na Afya bora kwa njia ya mawasilianoya mtandao. TanzMED imedhamiria kuwa chanzo kimojawapo cha habari, elimu, ushauri na mengi mengineyo yahusuyo afya.
Maana ya TanzMed

TanzMED ni muungano wa maneno mawili, ??Tanz?? ambalo linawakilisha Tanzania na ??MED?? ambalo linawakilisha Medicine.


No comments: