Ladies and Gents, brothers and sisters, napenda kuwakumbusha Tarehe 16 June 2011, Blog yako www.thebigtopten.blogspot.com itakua inafikisha mwaka mmoja. Binafsi pamoja na crew nzima tunapenda kutoa shukrani zetu kwa kutuunga mkono, haikua kazi rahisi kufika hapa tulipo bila msaada wenu kwa njia moja ama nyingine. Tungependa kwa siku hizi chache zilizobaki, kuchukua ushauri, mawazo, pongezi, kuturekebisha tulipokosea yote kwa ajili ya kujenga. Shukran na big up kwa wanna blog wote hapa nchini hakika hii inaonyesha tulivyo makini katika mabadiliko haya ya teknolojia. Salute!!!!! Kumbuka tarehe 16 june 2011 ni birthday ya blog hii. By Mukhsin Mambo (Mc Stopper) from Star TV Mwanza.
www.thebigtopten.blogspot.com
www.thebigtopten.blogspot.com
No comments:
Post a Comment