Monday, September 26, 2011

HUGHES NA VERONICA WAMEREMETA WEEK END HII.

 Bwana Harusi Hughes Dugilo ambaye ni mfanyakazi wa Kituo cha Televisheni cha ITV akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuingia kanisani kufunga pingu za maisha na Bi. Veronica Kibasa.
 Bi Harusi Veronica Kibasa akijiandaa kuingia kanisani tayari kwa kula kiapo na Bwana Hughes Dugilo katika kanisa la Anglikan Magomeni jijini Dar es Salaam.
 Pichani Bwana Harusi na Bi. Harusi Hughes na Veronica wakiingia kanisani tayari kwa kula kiapo.
 Bwana  Hughes na Bibi Veronica wakifuatilia ibada ya ndoa iliyokuwa ikiendelea katika kanisa la Anglikan Magomeni jijini Dar es Salaam.

No comments: