Monday, September 26, 2011

INTERVIEW YA URBAN PULSE YARUSHWA HEWANI LEO!!

Salaam,
 Leo Jioni katika Kipindi cha Sporah show Ndani ya BEN TV Sky channel 184  kuanzia 10.30pm- 11.30 itakuwepo  Interview maalum kutoka Kwa Urban Pulse na wageni wengine waalikwa kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakumba Mapromota  katika kiwanda cha Muziki.

Vile Vile Msanii Mish wa  Urban Pulse Alifanya makamuzi live ndani ya  Sporah show ikiwa ni mojawapo ya promo ya kuitangaza Mixtape yake ambayo unaweza kuidownload au kuisikiliza kwa kupitia link hapo chini

http://www.datpiff.com/Mish-Da-Fyah-Sis-Fyah-Brigade-mixtape.238903.html

Usikose kujilock ndani ya sky channel 184 leo usiku, kwa picha na maelezo zaidi tembelea.

http://thesporahshow.blogspot.com/
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE



No comments: