MRISHO'S BLOG

Pages

  • Home
  • BIG D GENERAL SUPPLIER

.

.
.

Sunday, September 25, 2011

Katibu wa TA Reading na Mkewe Wameremeta!

Salam,
URBAN PULSE CREATIVE inawaletea picha za tukio la Harusi ya nguvu iliyofanyika Jumamosi Tarehe 25 septemba  2011 Katika ofisi ya Reading Registrar  kati ya Katibu wa Tawi la TA Hapa Mjini Reading, Amri Dello, na Alice Kapya. Baada ya Kufunga pingu za maisha tafrija ilifanyika ndani ya Boat na kuzunguka mitaa ya berkshire hadi  windsor kwa Queen na kumalizikia katika Mji wa Reading.
 Wadau mbalimbali walikuwepo katika sherehe hii akiwepo Mhe. Balozi wetu Peter Kallaghe.
URBAN PULSE inapenda kuwapa hongera sana Maharusi wetu na kuwatakia kila la kheri katika safari yao ndefu walioianza leo.
MUNGU AWABARIKI,
Asanteni

URBAN PULSE CREATIVE
 
bwana na bibi Harusi wakiwa wanameremeta
 
Dello akimlisha keki mkewe
 
Picha ya Pamoja kutoka kwa pande zote za famailia na wadau waliokuja leo kushuhudia Harusi
 
Bonge la kiss 
 
Bwana Harusi akiweka Sahihi kwenye cheti cha ndoa



Posted by Mrisho's Photography at 4:00 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Up

The Best online Users

Together Tunawakilisha......

Together Tunawakilisha......
Abdallah Mrisho ‘Abby’

Kuchi kuchi John Pro Remix Ug Msk J' Odie

MY PARTNERS!

  • MICHUZI BLOG
    MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
    11 hours ago
  • JIACHIE
    Airtel Tanzania yawajengea vijana ujuzi wa kidigitali wa namna ya kubadili taka za kielektroniki kuwa fursa za biashara
    15 hours ago
  • MO BLOG
    Nhà Cái VF555 Nhiều Chương Trình Khuyến Mãi VF555 Tặng 128K
    2 years ago
  • H@ki Ngowi
    Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
    8 years ago
  • HARUSINI
    LAILA & WASIA MAYA'S WEDDING RECEPTION IN U.S.A
    9 years ago
  • FULL SHANGWE BLOG
    Interrupt iPad 2 Auto-Sync
    10 years ago
  • MjengwaBlog
  • THE BEST

Total Pageviews

Translate

Search This Blog

HOT VIDEO

Popular Posts

  • VILLAGE PASTOR YATUA MTAANI J3
    Kanumba kiwa na aunt Ezekiel Kanumba akiwa bush na washikaji ...mmmmwaaa!!! Akiongea nami, Kanumba amesema kuwa baada ya kusubiriwa kwa hamu...
  • MIDOMO INAYODATISHA!
  • STAA WA BONGO HOLLYWOOD USA!
    Steve Kanumba Ray Kigosi Hawa ndio mastaa wa filamu wa Bongo waliojuu kwa sasa! Tumepewa taarifa, tayari staa mmoja wa filamu Bongo, Steve ...
  • PUMU HAIPATANI NA VYAKULA VYA MAFUTA
    Kama tunavyosema kila siku, hakuna kitu kibaya kama mgonjwa kutokujua aina ya vyakula anavyopaswa kula na kuviepuka. kwa sababu bila kuwa na...
  • UTATA: MICHAEL MUISLAMU, MKRISTO?
    Baada ya kifo chake, utata umeibuka kuhusu dini yake, wapo wanaosema Michael alikuwa Muislamu na wapo wanaopinga na kusema alikuwa Mkristo t...
  • FRIDAY NIGHT FREESTYLE SPECIAL!!!!!!!!!!!!!!
    URBAN PULSE CREATIVE ikishirikiana na True Talk Records Company inapenda kuwaletea program mpya ya tv inayoitwa Friday Night Freestyle speci...
  • MEDDY MPAKA NJIA!
    Na Waandishi Wetu Uvumi kuwa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Mpakanjia amefariki dunia, umezua vilio kila kona ya nchi huku baadhi y...
  • UNAWAJUA CELEBRITIES WA MTONI?
    ..huyu ni Christina Aguilera ...huyu ni Jessisca Simpson ...huyu je ni nani?
  • "KIFUNGO HURU" LYRICS by C-SIR MADINI
    Track Name: KIFUNGO HURU Singer: C-SIR MADINI lyrics composed by: C-SIR MADINI, KID BWOY & JOSEFLY arranged by: C-SIR MADINI Produ...

LOOK FOR YOUR STORY HERE

Awesome Inc. theme. Theme images by tomograf. Powered by Blogger.