Monday, October 3, 2011

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU YA WIZARA YA AFYA YAFUNGWA

Mshehereshaji katika sherehe za  kufungwa kwa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru na Utoaji huduma za Afya Tanzania  MC Peter Mavunde zilizofanyika leo jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
 Burudani ya Muziki kutoka kwa Mjomba Bendi katika kunogesha sherehe za kufungwa kwa maadhimisho hayo.
aadhi ya Wafanyakazi wa Idara mbalimbali za Wizara  ya Afya wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Wizara hiyo. Mhe. Lucy Nkya.
 Mgeni rasmi Mhe. Lucy Nkya (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

No comments: