Thursday, November 24, 2011

ASANTE KOTOKO YATUA DAR

TIMU ya soka ya Kumasi Asante kotoko ya Ghana inatarajiwa kuwasili nchini Desemba 9 tayari kucheza mchezo mmoja wa kirafiki dhidi ya kombaini ya timu za Yanga na Simba siku ya Desemba 11 kwenye uwanja wa Taifa

1 comment:

tanzaniakwetu said...

Mechi itakuwa nzuri kwa kupima soka letu la kibongo na la ghana, na pia kubadilishana mawazo na ujuzi mabalimbali baina yetu na wao.
tunaomba wachezaji wetu wasituangushe katika mechi hiyo, na sisi washabiki tujitokeze kwa wengi kushabikia timu yetu na kuwapa moyo wa kushinda.
Pia unaweza pata links mbalimbali za michezo hasa za kibongo ndani ya : http://www.tanzaniakwetu.com