Thursday, December 22, 2011

NI MVUA YA KIHISTORIA!

..hali ilivyokuwa bonde la Kigogo!

..hali ilivyokuwa Jangwani Magomeni
  
..hali ilivyokuwa Matumbi Tabata
..hali ilivyokuwa Mbezi
..hali ilivyokuwa Magomeni Mapipa 
  
..hali ilivyokuwa daraja la Tangi Bovu Mbezi 
  
...hali ilivyokuwa Vingunguti
Ni mvua ya kihistoria ambayo haijawahi kunyesha kama hii tangu mwaka 1954, mwaka huo ilinyesha na kukaribiana kidogo na hii ya sasa. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, mwaka huo ilinyesha kwa wakati mmoja kwa mm za ujazo chini ya 120, lakini za safari hii ni zaidi ya mm 150 kwa siku moja. TUNAWAPA POLE WAATHIRIKA WOTE!

No comments: