Thursday, February 16, 2012

HALI YA KIUCHUMI UGIRIKI ! NI UTATA MTUPU!









 
Wananchi waandamana mitaani!
 Ugumu wa maisha,Ukata utanishia baadhi ya nchi za ulaya!
 
  FFU aka kina Ras Makunja wapata kazi ngumu !
 
Athesens,Ugiriki
Wandamanaji wenye hasira nchini Ugiriki,wameufanya mji wa Athesens
kuwa uwanja wa marumbano,baada ya wananchi wa ugiriki kuingia mitaani
kuandamana kupinga taratibu za mikopo kutoka nchina mashirika fadhili yanayotaka
kuikopesha fedha nchi hiyo na kuiokoa katika umasiki au ukata wa maisha unaoikumba
nchi hiyo..juzi tu wandamanaji walivamia jengo la bunge la ugiriki ambapo wabunge walikua
wakijadili hali ya umasikini na mashariti ya mkopo kutoka kwa wafadhili,
askari wa kutuliza ghasia aka akina Ras Makunja,walikuwa ka kazi ngumu ya kuwatawanya
wandamanaji hao.
Hata hivyo hali ya kiuchumi katika baadhi ya nchi za ulaya inatisha uenda baadhi ya nchi
zikafirisika na ugumu wa maisha ukawa moto zaidi ya kiyama.

No comments: