Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza akiongea
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuazimisha
siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo
walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni
zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi
asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza akizindua
msafara wa magari wakati wa kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo
ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja
kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la
utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda
wa hewani kupitia m-pesa.Kushoto Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa
kampuni hiyo Mwamvita Makamba.
.Msafara wa magari ya Vodacom
Tanzania ukipita katika barabara ya Morogoro maeneo ya Manzese jijini
Dar es Salaam yakiwabeba wafanyakazi wa kampuni hiyo leo wakati wa
kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni
hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na
promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na
bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Mmoja
wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania akibandika tangazo linaonyesha
huduma za m-pesa wakati wa kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo
ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja
kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la
utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda
wa hewani kupitia m-pesa.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa katika mitaa ya Mbagala
jijini Dare s Salaam wakitembea kwenda kuwaelimisha wateja wao wakati wa
kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni
hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na
promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na
bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa
Mzee Said Ally mkazi wa Mbagala
akipewa maelekezo na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania juu ya huduma ya
m-pesa wakati wa Promosheni kuazimisha siku ya wateja nchini nzima
ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja
kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la
utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda
wa hewani kupitia m-pesa
Wasanii wakiburudisha wakati wa Promosheni kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuniya Vodacom walienda
mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni
zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi
asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakibandika matangazo katika moja ya kibanda cha duka Mbagala Zakiemu yakionyesha huduma za m-pesa wakati wafanyakazi hao walipokuwa wakiazimisha siku ya wateja ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
KAMPUNI
ya simu za mkononi ya Vodacom imeanza kuwatembelea wateja wao nchi
nzima ili kujua changamoto gani ambazo wanakutana nazo baada ya kuzindua
promosheni ya punguzo la huduma ya kutuma pesa (M-pesa) kwa asilimia 75.
Pamoja ya kujua changamoto za huduma hiyo pia kampuni hiyo imeangalia jinsi wateja wake walivyo pokea huduma hiyo muhimu.
Akizungumza
mjini Dar es Salaam jana Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Rene Meza
alisema kwa kutambua umuhimu wa wateja wao hapa nchini kampuni hiyo
imetenga siku muhimu ijulikanayo kama ‘Siku ya masoko’ ili kuangalia
jinsi gani wateja wao walivyo elewa na kuzipokea huduma zao.
“Wafanya
kazi wote wa Vodacom nchi nzima leo (jana) wakiongozwa na wakurugenzi
na washiriki wote wa kampuni yetu wata watembelea mawakala na wananchi
ili tuangalia changamoto gani wanazokutana nazo na kusikiliza ushauri
wao.
“
Tatizo la mawasilianio ni kubwa sana tumekuwa tukipata malalamiko kutoka
kwa wateja wetu hivyo kwa kutumia siku hii muhimu tutajua matatizo yote
ambayo wateja wetu wanakutana nayo,”alisema Meza.
Naye
Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba alisema
huduma ya M-pesa imerahisisha maisha kwa wananchi wa hali zote hapa
nchini kwani kwa kutumia huduma hiyo wateja wameweza kulipia huduma ya
Luku pamoja na ada kwa wanafunzi bila matatizo.
Kampuni ya Vodacom imeweka kianzio cha Sh 50 cha kutuma pesa na bonas ya asilimia 25 kwa wateja wake ambayo itaenda sambamba na zawadi ya kitita cha Sh milion 480 kushindaniwa.
Maeneo ambayo yametembelea na Vodacom kwa Dar es Salaam ni pamoja na Kariakoo, Tegeta, Kimara, mbezi pamoja na Mbagala.
No comments:
Post a Comment