Mke wa Marehemu Daud Mwangosi akilia juu ya kaburi la mumewe mara baada ya maziko mchana huu Iringa kijini. Laiti kama binadamu tungejua nini kinaendelea baada ya mtu kufukiwa kaburini, tusingefanyiana unyama kama huu! Mlioua, hebu angalieni hii picha na muone ni kiasi gani mmeacha majonzi kwa familia yake, hususani huyu mkewe!
No comments:
Post a Comment