Jaji mkuu wa shindano la Epiq Bongo Star Search, Madam Ritha (katikati) akilia
Madam Rita akilia kwa uchungu wakati mshiriki aliyetambulika kwa jina la Walter Chilambo ambaye ndiye mshindi wa shindano hilo alipokuwa akiimba wimbo wa Ben Paul
............ akifuta machozi baada ya kumaliza kulia
Washiriki walioingia mbili bora wakiwa wameshikana wakisubiri kutangazwa kwa mshindi
Majaji wakihesabu kura kutoka kwenye lap top
Mshindi wa shindano hilo Walter akiwa amekaa chini baada ya kutangazwa kutokana na kuishiwa nguvu
Mshindi wa shindano hilo akiwa ameshikilia sanduku lake lenye zawadi ya kitita cha shilingi milioni hamsini
Madam Rita akimpongeza mshindi wa shindano hilo baada ya kutangazwa
Mashabiki waliohudhuria katika onyesho hilo wakifuatilia kwa makini
Msaani maarufu filamu nchini Vicent Kigosi 'Ray' akifuatilia mpambano kwa makini
Wasanii kutoka nyumba ya vipaji ya THT Linah (kushoto) wakikamua kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee wakati wa Fainali ya EBSS usiku wa kuamkia leo.
Lina (aliyesimama) na Amini wakionyesha maujuzi jukwaani.
Walter Chilambo akiimba kwa hisia kali kabla ya kutangazwa mshindi.
Walter akikusanya fedha alizotunzwa na mashabiki kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, usiku wa kuamkia leo.
Walter akiimba kwa hisia
No comments:
Post a Comment