Hajjat Rhema Amir Gama
Assalam alleykum! Kwa jina naitwa Hajjat Rhema Amir Gama, ambaye mwaka
huu nilikuwa miongoni mwa wanawake wa kiisilamu waliopata nafasi ya kupelekwa
kuhiji Makka. Naishi Ilala Mtaa wa Nzasa, nyumba namba 17, jijini Dar es
salaam.
Nina madrasa yangu inaitwa Al-Jannatu
Islamiya na pia nalea watoto yatima na wajane, ambao wako shambani, Wiliya
ya Kisarawe eneo la Masanganya, nimewahifadhi msikitini kwa sababu bado
sijapata mfadhili wa kunisaidia kujenga makazi yao ya kudumu.
Wazee wa msikiti wa Kisarawe wamenipa
eneo la kujenga kituo cha watoto yatima na wajane, lakini sina uwezo wa kifedha
wa kujenga makazi hayo.
Sasa naomba msaada wa hali na mali kwa yeyote ataeguswa na hawa watoto
na wajane ili niweze kuwalea na kuwapa makazi ya kudumu wakiwa nao ni viumbe wa
Mwenyezi Mungu. Moyo wa upendo ninao, ila sina uwezo.
Kama kuna mtu anaguswa na jambo hili naomba awakilishe msaada wake
katika akaunti namba 2052529708 NMB au
kwa Tigo Pesa na M-pesa kwa numba zifuatazo au afike Ilala Mtaa wa Nzasa,
nyumba namba 17 aonane na Bi Hajjat Rehema Gama.
Simu
na:
0714 230163,
0713 558222
0713 558222
0754
414270
WABILLAHI TAUFIQ!

No comments:
Post a Comment