Wednesday, November 14, 2012

Tanzania yapata Shujaa Mpya

 
Urban Pulse na Freddy Macha wanakuletea kidokezo ("trailer") cha filam kuhusu shujaa mpya wa Kitanzania Wilfred Moshi, aliyejitolea kwa hali na mali kuupanda Mlima Everest. Ameweka rekodi ya kuwa Mwafrika wa tatu na Mtanzania wa kwanza kupanda mlima mrefu kushinda yote duniani...

No comments: