Sunday, January 12, 2014

Bobbi Kristina Brown adai hata marehemu mamake Whitney Houston angewaruhusu kuoana na kaka'ke' Nick Gordon


Pride and joy: According to Bobbi Kristina, Whitney Houston always wanted her daughter to wind up with Nick

Kristina akiwa na marehemu mamake, Whitney Huston

The Greatest Love of All: Bobbi Kristina and Nick Brown confirmed they are officially married and that Whitney Houston always wanted them together
Hatimaye watoto wa Boby Brown na hayati Whitney Houston wameoana rasmi na kupewa baraka zote na bibi yao  Cissy Houston. Kristina ni binti wa hayati Whitney Huston na Nick ni mtoto wa Boby Brown, ambao mara baada ya kifo cha mama yao, waliingia katika uhusiano wa kimapenzi kitu kilichowashangaza watu wengi, lakini hivi karibuni kupitia mtandao wa Twitter, Kristina alitangaza kuwa sasa wameshafunga ndoa na ni mume na mke na kwamba hata marehemu mamake alikuwa anataka iwe hivyo, yaani mtu na dadake wa kambo waoane!
Family affair: The newlywed couple were raised like siblings but are not related in any way
...Kristina na Nick.......kila function wamekuwa wakienda pamoja
'#HappilyMarried So #Inlove if you didn't get it the first time that is': Bobbi Kristina Brown revealed on Twitter on Thursday that she and finacé Nick Gordon have tied the knot

On-again, off-again: The couple - pictured here in November - were first engaged in October 2012, before calling time on their relationship and eventually reconciling and renewing their commitment in July 2013
 ...mtu na kakayake wakiwa katika pozi mwaka 2012
'Just upgraded the ring and added two bands  #blingbling': On September 16, Nick revealed that he had added to his fiancée's already impressive custom-made Neil Lane sparkler
akionesha pete ya uchumba kwenye Twitter

Grandmother's love: Cissy Houston gave her blessing for Bobbi Kristina and Nick to marry
Bibi wa Kristina: Cissy Houston alitoa baraka zote za ndoa yao.......

No comments: