Friday, October 16, 2015

WAKAZI WA UKONGA NA VITONGOJI VYAKE WASEMA MAGUFULI ANAFAA KUWA RAIS

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akinyooshewa vidole gumba na wakazi wa Jimbo la Ukonga ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ya ndiyo, wakati wa mkutano wa kampeni eneo la Moshi Bar, Ukonga - Dar es Salaam.

No comments: