MRISHO'S BLOG

Pages

  • Home
  • BIG D GENERAL SUPPLIER

.

.
.

Sunday, July 15, 2007

KU-FAINT KWA MISS UNIVERSE: ETI ALIOGOPA KUPIMA NGOMA!

Wakati Rais Kikweti akiwa ndani ya banda maalum akipima 'ngoma' katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam Jumamosi iliyopita, Flaviana Matata, Mrembo wa Tanzania aliyeshiriki mashindano ya Miss Universe mwaka huu na kufanya vizuri, alikuwa nje ya banda hilo pamoja na umati wa watu wengine wakisubiri kwa hamu kuona kiongozi wetu anamaliza zoezi hilo na wengine waingie kupima, lakini ghafla mrembo wetu hali ikabadilika na kuanguka chini...eti aliona zamu yake imefika akapata shock...na hivi ndivyo picha kamili ilivyokuwa..!




Pole dada Flaviana kwa maswahibu yaliyokupata.....!


Posted by Mrisho's Photography at 5:56 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

1 comment:

Anonymous said...

siku kama hii kwanini wamemvisha manguo hayo jamani du kweli ulibwende unatabu yake

July 16, 2007 at 1:54 AM

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Blog Up

The Best online Users

Together Tunawakilisha......

Together Tunawakilisha......
Abdallah Mrisho ‘Abby’

Kuchi kuchi John Pro Remix Ug Msk J' Odie

MY PARTNERS!

  • JIACHIE
    SERIKALI KUANZA KUTOA VIBALI VYA UJENZI KWA WAMILIKI WALIO TAYARI KUSHIRIKI MPANGO WA UENDELEZAJI UPYA ENEO LA SINZA
    3 hours ago
  • MICHUZI BLOG
    How to Spot a Trustworthy Forex Broker in Africa
    16 hours ago
  • MO BLOG
    Nhà Cái VF555 Nhiều Chương Trình Khuyến Mãi VF555 Tặng 128K
    2 years ago
  • H@ki Ngowi
    Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
    8 years ago
  • HARUSINI
    LAILA & WASIA MAYA'S WEDDING RECEPTION IN U.S.A
    9 years ago
  • FULL SHANGWE BLOG
    Interrupt iPad 2 Auto-Sync
    10 years ago
  • MjengwaBlog
  • THE BEST

Total Pageviews

Translate

Search This Blog

HOT VIDEO

Popular Posts

  • MIDOMO INAYODATISHA!
  • IJUMAA SHOWBIZ!
    Nakaaya Wasanii na vyama vya upinzani: Sugu aandaliwa makubwa CHADEMA, Nakaaya ndani, Kalapina, Madee pia wamo Ni exclusive lakini pia ...
  • UNAWAJUA CELEBRITIES WA MTONI?
    ..huyu ni Christina Aguilera ...huyu ni Jessisca Simpson ...huyu je ni nani?
  • TANGAZO KUHUSU MTANDAO WA GLOBAL PUBLISHERS
    Kwa wale ambao hawaupati mtandao wa www.globalpublisherstz.com ; Wanashauriwa kubadilisha Browser na kutumia Mozilla Firefox. Imeonekana kw...
  • FRIDAY NIGHT FREESTYLE SPECIAL!!!!!!!!!!!!!!
    URBAN PULSE CREATIVE ikishirikiana na True Talk Records Company inapenda kuwaletea program mpya ya tv inayoitwa Friday Night Freestyle speci...
  • Vijue vyakula vya mgonjwa wa presha
    Hakuna kitu kibaya kwa mgonjwa kama kula vyakula ambavyo huongeza tatizo alilonalo bila kujijua. Kwa kuwa tunaamini kwamba, jinsi tulivyo tu...
  • Zijue faida za ajabu za karanga!
    Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukw...
  • Zijue faida za soya, watu wazima na watoto
    Kutokana na maombi ya wasomaji wetu wapendwa, nimeamua kukuletea makala haya kuhusu soya na vyakula vinavyotengenezwa kutokana na zao hili m...
  • KIZUNGUZUNGU NI DALILI MBAYA
    You are what you eat! Tofauti na watu wengi wanavyodhani, kizunguzungu huwa ni ishara ya tahadhari inayotolewa na mwili kuwa kuna kitu haki...

LOOK FOR YOUR STORY HERE

Awesome Inc. theme. Theme images by tomograf. Powered by Blogger.