Sunday, July 29, 2007

KUDADAADEKI.. HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA.. NI KUBANJUKA TU!!

...HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA WIKIENDI ILIYOPITA LEADERS CLUB JIJINI DAR...!
...ba ba banjuka juu...shida tunaweka chini..DNA 'Mzee wa Banjuka' kutoka Kenya
... Obssesion kutoak Uganda.. akifanya vitu vyake mpaka 'kipyedo' kupasuka (angalia picha zinazofuata chini)
...Kuna watu na Viatu...Nyota Ndogo kutoka Kenya..!
...Usher Raymond wa Bongo ...Michael Ross from Uganda...akifanya vitu vyake..
...yaani unataka kunizuia mimi...aah.. achana na mimi wewee!
...karibia aaa, usiogope eee... Nameless kutoka Kenya...!
...unapokuwa Obsessed na muziki mambo kama haya hutokea.. wadaku tuliunasa mpasuko huu kwa huyu msanii wa kundi la Obssession kutoka Uganda
...Stage show wa msanii kutoka Kenya Nyota ndogo, nae akifanya mavituz..!
...Huyu 'mdada' naye hakubaki nyuma...ba ba banjuka tu..!

No comments: