Sunday, August 12, 2007

AROBAINI YA AMINA, VILIO VYAIBUKA UPYA!

Marehemu Amina Chifupa, kipenzi cha wengi, jana alitimiza siku arobaini tangu aiage dunia na katika kisomo cha arobaini hiyo kilichofanyika nyumbani kwa mzee Chifupa Mikocheni vilio viliibuka tena wakati ndugu na jamaa walipokutana tena. Mungu ailaze roho ya marehemu peponi, DAIMA ATAKUMBUKWA!
Mama mzazi wa Amina akiwa katika majonzi mengine ya kumkubuka kipenzi chake wakati wa Arobaini ya mwanae jana jijini Dar es salaam.
Familia ya Mpakanjia, kati ni mama mzazi wa Meddy, mtoto anayeiangalia kamera ndiye Rahman mtoto wa marehemu Amina. Meddy mwenyewe hakuhudhuria arobaini hiyo na kuna habari zinasema 'yu mgonnjwa'.
Mzee Chifupa (kushoto) akiwa na kaka yake pamoja na 'daruwesh' maarufu jijini Dar (kulia) kwenye Arobaini ya marehemu Amina

3 comments:

Anonymous said...

ACHENI UNAFIKI.ALIPOKUWA HAI MLIMWANDAMA KAMA HAMNA AKILI NZURI.SASA AMEFARIKI NDIO MNADAI KWAMBA ATAKUMBUKWA MILELE!!!SURELY,WHEN YOU GUYS DIE DESERVE TO BE USED AS FIRE LOGS

Anonymous said...

ni nyie mliomuua huyu dada kwa ushirika mkubwa wa swahiba wenu shigongo?naomba usiibanie hii na mtoe maelezo ya kutosha kujibu swali hili

MAJAN said...

every body must die one day why do you start pointing accusing fingers