Wednesday, October 10, 2007

DINA MARIOUS!

Sauti yake inasikika vyema kila ifikapo saa 3:00 asubuhi kupitia 88.4 clouds fm, akiwa nyumbani, anapenda kujipikia msosi wake, lakini Dina; hii ni staili yako ya kulia mkono wa kushoto au ndo mapozi mtoto wa watu...!

3 comments:

Anonymous said...

Sio kwamba hii ni picha ambayo negative yake iligeuzwa wakati inaoshwa? Nadhani ndicho kilichotokea japo najua wapo waliao kwa mkono wa shoto

Anonymous said...

Perhaps...
Mzee Ras twin umelonga jambo linaloweza kuwa la maana kidogo,seems umefutaX2 ujinga kidogo.Umeishia form ngapi? IV?

Anonymous said...

Yallah Mkono wa KUCHAMBIA HUO...