Friday, July 18, 2008

JIDE NA BIG MAN!

Unamkumbuka ML Chriss, 'Big Man', mtangazaji mwenye sauti nene ya kipekee inayoweza kukutoa mafichoni? Jamaa alikuwa mtangazaji wa Clouds FM lakini kwa sasa yuko nchini Kenya akitangaza katika moja ya vituo vya redio vya FM nchini humo. Hapa alikutana na Lady Jaydee katika tamasha la kusherehekea Birthday ya Mandela nchini Uingereza hivi karibuni. Mzee Mandela 'Madiba' leo ndiyo siku yake ya kuzaliwa na anatimiza miaka 90! HAPPY BIRTHDAY MADIBA!

1 comment:

Anonymous said...

ML Chriss, duuh jamaa ana sauti nzuri huyu sijapata kusikia nyingine, unatamani aendelee tu kuongea...