Monday, July 7, 2008

NI MISS ANGELA!


Usiku wa kuamkia leo Temeke imefunga pazia la Mkoa wa Dar kutafuta wawakilishi wake katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2008 kwa kumuibua mtoto anayejiamini kuwa, siyo tu Miss Temeke, bali Miss Tanzania na hata Miss World 2008. si mwingine ila ni Miss Angela Lubala, akiwa na wenzake waliomfuata, Florence Josephat na Lona Swai.

No comments: