Monday, July 7, 2008

WIKIENDA SHOWBIZ!


Beyonce
Britney

Mariah

Rihanna

Top 50 ya mastaa wa kiwanja 2008
Kupitia safu hii leo tunakudondoshea Top 50 ya mastaa wa Hollywood, Marekani kama unavyowacheki pichani ambao wametajwa kupitia wa mtandao wa 'Who's Dated Who'.

Abby Cool & MC George Over The Weekend iliibamba Top 50 hii mtandaoni mwishoni mwa wiki iliyopita na kwamba mastaa hawa wa muvi, muziki, mitindo na sanaa nyingine ndiyo wanaoonekana kuwa na mvuto na mafanikio zaidi kwa mwaka huu wa 2008.

Kabla ya kushusha Top 50 hiyo, mtandao huo uliuliza kwamba unavutiwa na nani kati ya hawa? Safu hii inaamini kwamba, wapenzi wengi wa mastaa hao watapenda kufahamu nani na nani ameingizwa katika chati hiyo adimu ambayo ilitaja majina tu bila kuweka wazi nani kashika namba ngapi na yupi kawa wa ngapi:
Miley Cyrus
Mariah Carey
Nick Cannon
Chris Brown
Nicholas Jonas
Zac Efron
Paris Hilton
Jessica Alba
Beyoncé
Brad Pitt
Joseph Jonas
Ashley Tisdale
Justin Timberlake
Rihanna
Jensen Ackles
Hilary Duff
Britney Spears
Jennifer Aniston
Orlando Bloom
Lindsay Lohan
Bow Wow
Vanessa Hudgens
Jay-Z Carter
Lauren Conrad
Madonna
Jamie-Lynn Spears
Emma Watson
Lil Wayne
Kevin Jonas
50 Cent
Wentworth Miller
Jesse McCartney
Sophia Bush
Tyra Banks
Alicia Keys
Angelina Jolie
Johnny Depp
Danny Jones
Tom Cruise
Kim Kardashian
Amanda Bynes
Channing Tatum
John Mayer
Chad Murray
Jennifer Lopez
Daniel Radcliffe
Ciara Harris
Cameron Diaz
Jared Leto
Keanu Reeves

Baada ya kujua ni staa yupi ametajwa kuingia kunako chati hizo za 'kiwanja', usikose kuwacheki mastaa 50 (Top 50) wa Bongo kupitia safu hii wiki ijayo. Kaa tayari!


No comments: