
Stage aliyotumia mwanamuziki Shaggy jana ilikuwa ktk kiwango cha kimataifa, ikiwemo sound system iliyofungwa...utambulisho wa Zain ulifana ile mbaya..!

Miriam Odemba(shoto) akikupa pozi la kisanii ndani ya onesho la Shaggy pale Leaders akiwa na bi. Rashida Wanjara!
No comments:
Post a Comment