Thursday, November 27, 2008

MR. AWORI CEO MPYA STANDARD CHARTER

...Hoyce Temu (shoto) ndiye Afisa Uhusiano wa Standard Chartered Bank ya jijini Dar es salaam.
...Lucy na Abdallah Majura wa BBC wakibadilishana mawili matatu
Benki ya Standard Charter ya jijini Dar es salaam imepata Afisa Mtendaji mpya (CEO) ambaye alitambulishwa kwa waandishi wa habari jana katika hoteli ya Southern Sun. Pichani ni CEO anayemaliza muda wake Bw. Hemen Sha (shoto) CEO mpya Bw. Jeremy Awori (kulia) ambaye ni mtoto wa mwanasiasa maarufu nchini Kenya, Moody Awori na kati ni Lucy Kihwele ambaye naye alitambulishwa rasmi kama Head of Corporate Affairs wa benki hiyo.

3 comments:

Bennet said...

kwani hamna watanzania wenye sifa hizo? hii sasa imekuwa to much mbona kenya hamna ma CEO waTanzania hawa jamaa wahatupendi wanajali mslahi yao tu

Anonymous said...

Subiri utasikia wafanyakazi wanaikimbia hiyo bank sasa hivi, halafu mhu! ngoja ninyamaze lakini kuna siku ntasema

Anonymous said...

looking at the 2 comments above, here is a question: why is it a problem if an african serves in this country, but ok for others(asians,europeans,etc)?