
Rais Jakaya Kikwete, Jumatatu alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 3 za kuanzishwa kwa taasisi ya Tanzania House Of Talents, zilizofanyika Karimjee gardens na kusema kuwa amefurahishwa sana na burudani aliyoipata. Pichani akitoa hotuba yake kwa wageni waalikwa.

...wasanii wa THT wakifanya vitu vyao

...baloon likipaa ikiwa ni ishara ya mafanikio ya THT

wadau kutoka Vodacom, Mwamvita Makamba (kushoto) na Fina Mango nao walikuwepo

Afande Sele akisalimiana na First Lady Mama Salma

Mwaciti (kati) akiwa na wasanii wenzake wa THT

Msanii K-sher(kati) akiwa na msanii mwenzie Monica (kushoto) na mbunge wa kuteuliwa Mh. Al-shymaa ambaye ni dada wa Monica wakati wa sherehe hizo

JK katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Flava

JK akiondoka baada ya sherehe huku akisindikizwa na mwenyeji wake Ruge Mutahaba
2 comments:
nimefurahishwa sana na Kazi ZA THT UBARIKIWE SANA RUGE KWA KWELI KUTAMBUA VIPAJI NI KARIMA YAKO.THT WANAWATAKIA KUDUMU MILELE
HONGERA SANA THT KWA KAZI NZURI.MUNGU AZIDI KUKUBARIKI RUGE KWA KARAMA ALIYOKUPA WISH YOU ALLTHE BEST.
Post a Comment