Monday, December 15, 2008

SIKU RAIS GEORGE BUSH ALIPOTOLEWA NISHAI NCHINI IRAQ!






Katika hali isiyo ya kawaida, Rais George Bush wa USA anayemaliza muda wake Januari mwakani, akiwa nchini Iraq akifanya Press Conference jana, mwandishi mmoja wa habari nchini humo alivua kiatu chake na kumtupia rais huyo kwa lengo la kumpiga nacho usoni, bahati Bush alikiona na kukikwepa...ilikuwa ni sooo la kufungia mwaka!

1 comment:

Anonymous said...

sio kiatu viatu alirusha cha kwanza bush akakwepa akarusha kingine akakwepa jamaa akataitiwa HABARI NDO HIYOOOOOOOO