Sikuelewa kidogo pale Obama alipobabaika kidogo kufuatisha kiapo cha jaji...alikuwa hajui, hakusikia au furaha kupita kipimo? ...Yote tisa, kumi Obama ni Rais wa watu, amefunika dunia nzima!!!!!
6 comments:
Anonymous
said...
rais obama hakubabaika,ila chief justice ndio alibabaika hadi akamchanganya obama kubabaika,tuwe wasikivu kwenye mambo kama haya
Obama hakubabaika ila CHief of justice alitwisk kidogo maneno...yaani aliruka neno kwa hiyo ikamrusha Obama from what he knows...small stuff...but the BIG one is OBAMA IS THE US President. Mdau US
Aliyekuwa anamwongoza kwenye kiapo alikosea. aliweka neno faithfully pasipo pake. Yaani badala ya "I faithfuly swear.... yeye alisema "I swear .... faithfully.
mambo vp mrisho!asante kwa kutuletea burudani..nimependa ulivyoiweka comment yako kuwa hukuelewa kidogo nini kilitokea pale kny kuapishwa kwa obama..kilichonifanya nipende comment yako ni kwamba hujawa kama dada yangu mmoja anaendesha morning show redio moja maarufu hapa dar kama c..fm kwani amekosea na akaongea kana kwamba yuko sahihi..ukweli ni kwamba aliyemuapisha obama hii ni mara yake ya kwanza kumuapisha rais na yeye alikosea kumwambia obama ile sentensi na ndio maana obama alisita kuitamka,ikumbukwe kwamba protokali za america raisi mchaguliwa hufanya riheso ya kuapa kabla ya tukio lile uliloona jana..na ndomana mjaluo alishangaa kuona sentensi imebadilika..anyway haibadilishi kitu..kwa dada yangu wa c..fm nilishukuru producer wake alimrekebisha..hongera kwa blog nzuri...mdau wits university-jozi
HABARI ZA SAA HIZI, Obama hakujiuma bali Chief Justice alikosea na kuyataja maneno yaliyo kwenye kiapo cha urais wa marekani ndivyo sivyo ndio maana Obama alisita kidogo. Unaweza kucheki zaidi katika CNN.com na website ya white house
Tunatakiwa tujifunze sio kila alitamkalo jaji ni sawa! Mr President katuonyesha kuwa yuko makini i am sure ingekuwa ni kiongozi wetu wa kibongo ange mquote jaji kama alivokosea.
6 comments:
rais obama hakubabaika,ila chief justice ndio alibabaika hadi akamchanganya obama kubabaika,tuwe wasikivu kwenye mambo kama haya
Obama hakubabaika ila CHief of justice alitwisk kidogo maneno...yaani aliruka neno kwa hiyo ikamrusha Obama from what he knows...small stuff...but the BIG one is OBAMA IS THE US President. Mdau US
Aliyekuwa anamwongoza kwenye kiapo alikosea. aliweka neno faithfully pasipo pake. Yaani badala ya "I faithfuly swear.... yeye alisema "I swear .... faithfully.
mambo vp mrisho!asante kwa kutuletea burudani..nimependa ulivyoiweka comment yako kuwa hukuelewa kidogo nini kilitokea pale kny kuapishwa kwa obama..kilichonifanya nipende comment yako ni kwamba hujawa kama dada yangu mmoja anaendesha morning show redio moja maarufu hapa dar kama c..fm kwani amekosea na akaongea kana kwamba yuko sahihi..ukweli ni kwamba aliyemuapisha obama hii ni mara yake ya kwanza kumuapisha rais na yeye alikosea kumwambia obama ile sentensi na ndio maana obama alisita kuitamka,ikumbukwe kwamba protokali za america raisi mchaguliwa hufanya riheso ya kuapa kabla ya tukio lile uliloona jana..na ndomana mjaluo alishangaa kuona sentensi imebadilika..anyway haibadilishi kitu..kwa dada yangu wa c..fm nilishukuru producer wake alimrekebisha..hongera kwa blog nzuri...mdau wits university-jozi
HABARI ZA SAA HIZI,
Obama hakujiuma bali Chief Justice alikosea na kuyataja maneno yaliyo kwenye kiapo cha urais wa marekani ndivyo sivyo ndio maana Obama alisita kidogo. Unaweza kucheki zaidi katika CNN.com na website ya white house

Post a Comment