Kutoka ndani ya kundi la Destinyís Child, msanii Kelly Rowland ndiye aliyeombwa na wasomaji wengi wa safu hii wiki iliyopita ambao walitamani kufahamu, binti huyo amewahi kujiachia na mastaaa wangapi wa kiume.
Kwa mujibu wa mtandao unaodili na uhusiano wa mastaa, Kelly amewahi kujirusha na wanaume zaidi ya sita kama Maverick Carter, Nelly, Larry, Hughes, Roy Williams, Chris Tucker, Dwyane Wade, Fawaz Gruosi na Kieran Richardson aliyekuwa naye mwaka jana wa 2008, haijafahamika mwaka huu wa 2009 yuko na mwanaume gani.
Mbali na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume wote hao, mtandao huo umedai kwamba, mrembo huyo ambaye ameshawahi kukanyaga kunako ardhi ya Bongo, aliwahi kuwa na uhusiano usiyofaa na msanii mwenzie wa kike, mwana Hip Hop Trina.
Kelly ambaye ana urefu wa futi tano na nchi nane alizaliwa kwa jina la Kelendria Trene Rowland, Februari 11, 1981 huko Atlanta, GA, Marekani na alikuwa memba wa kundi la Destiny's Child kwa kipindi kirefu mpaka pale walipoamua kila mmoja kufanya kazi peke yake miaka kadhaa iliyopita.

***************************************
1 comment:
last year 2007? are u serious?
i know just a simple mistake!
Hahaha
Post a Comment