Saturday, February 14, 2009

KWA WANAOFUATILIA!!

Kwa wafuatiliaji wazuri wa picha: Hii picha umewahi kuiona kwenye tukio gani wakiwa hivi? Hawa ni Ray kigosi na Irene Uwoya!

HAPPY VALENTINE WAPENDWA!

7 comments:

Anonymous said...

FILAMU YA YELLOW BANANA

Anonymous said...

filamu ya opra

Anonymous said...

FILAMU YA OPRAH

Anonymous said...

FILAMU YA OPRA

Anonymous said...

sielewi naona wanauza urembo tu hamna hata movi moja ya kinahawa niliyowai kuangalia,naona maigizo tu hasa hizi ndo pozi gani?boring

Anonymous said...

hiii ni opraaaaaaaaaaaaaah jamani oyeeee sas kunazawadiau tujibu tuu

Anonymous said...

its a film nimeshau jina but i think its oprah