Sunday, March 8, 2009

AY ATUA USA, AFANYA MAKAMUZI


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yessaya yuko nchini Marekani na tayari kufanya makamuzi ya nguvu katika onesho la nguvu la Minneapolis Jumamosi hii....picha zitawajia kadri ishu tutavyoipata!!!!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

nimepita kukusalimia. kazi nzuri