Wednesday, March 4, 2009

KARIBUNI 'HOME'

Maximo akiwa na Mkurugenzi wa Zizzou Fashions Store, Tippo Athuman (kushoto) katika Hoteli ya The Atriums ambako Timu ya Taifa imeendelea na kambi yake baada ya kurejea kutoka Abidjan asubuhi leo.
Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars wakiwa katika picha ya pamoja na Tippo Athumani (mwenye shati la mistari) wa Zizzou Fashions ambaye kampuni yake ndiyo 'designers' wa jezi mpya za Timu ya Taifa nchini Tanzania mara baada ya kuwasili kwenye kambi yao iliyopo Sinza Africa Sana mapema leo.

1 comment:

Anonymous said...

Hongereni sana Taifa Stars mmependeza sana!!!!!!!!!