Thursday, March 26, 2009

KUTANA NA MWANDISHI CHIPUKIZI!!!!


Kwenu wapenzi wa fasihi,
Kama ilivyo ada, hapa Mkahawani Soma kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi ni siku ya kukutana na mwandishi. Ijumaa hii ya tarehe 27/03/2009 tutakutana ana kwa ana na mwandishi chipukizi Sandra Mushi mwandishi wa The Rhythm of my Rhyme amabacho kinapatikana hapa kwenye duka la vitabu Soma pamoja na hadithi fupi nyingi za kuvutia ambazo amechapishwa kwenye blog yake
www.sandrasden.com na www.sarahsoulfood.wordpress.com hadithi moja imechapishwa kwenye toleo la kwanza la jarida la fasihi Soma.

Tutapata fursa ya kuhojiana naye, kujadili mashairi na hadithi zake, na pia tutasoma baadhi ya hadithi zake na kughani baadhi ya mashairi yake.

************************************************

Dear literati,
Welcome again at Soma Book Café on Friday Evening 27th March/2009 whereby we will meet face to face with a Book Writer Sandra Mushi the author of Rhythm of my Rhyme a newly released anthology that has gained popularity among people of varied social backgrounds. The book is available at Soma Bookshop. Sandra has also authored several short stories available in her blog www.authorsden.com and www.sarahsoulfood.wordpress.com and one of them is serialized on the first issue of Soma literary magazine.

We will chart with Sandra and talk about her writings, plus we shall recite some of her poems and read from some of her stories. You will also be able to get her to autograph your copy of her book.

Welcome and Karibuni Wote!

1 comment:

SaHaRa said...

Mrisho, aksante sana kwa the post.
Kuna marekebisho kidogo - the blog address ni www.saharasoulfood.wordpress.com na pia website address ingine ni www.sandrasden.com.

Karibuni na ninatumaini kuonana na nyie wote.

Aksante sana.

Sandra.