Sunday, April 5, 2009

GEORGE BUSH & RICE UMASAINI?

Waliamanisha hawa kuwa ni George Bush na Bi. Condelezza Rice...angalia vizuri na kiufundi zaidi picha hii (from graphics designer point of view) na utuambie how is it possible, ukizingatia sura na rangi ya ngozi .

No comments: