Saturday, April 4, 2009

GUTA LA CHINA KIBOKO!


Kama ulidhani baskeli za miguu mitatu za Dar es salaam, maarufu kama Guta, zinatumika ipasavyo katika uchukuzi wa mizigo, basi hujaona hii ya China, tena inayoendeshwa na mwanamke wa Kichina kama alivyonaswa hivi karibuni katika mitaa ya jimbo la Guangdong. Kwa mzigo kama huu, Bongo utapita barabara gani?

No comments: