CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kulitetea Jimbo la Busanda
katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana na kuvunja sherehe ya Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa kwenye mazingira mazuri ya
kushinda.
Wakati CCM wakijiandaa kupokea matokeo hayo kwa shangwe na nderemo
kuna habari kuwa CHADEMA wanajiandaa kuyapinga matokeo hayo.
CHADEMA ikiwa na matumaini makubwa ya kulitwaa taji hilo kutokana na
mafanikio yake makubwa wakati wa kampeni kwa kujaza watu mikutanoni,
matokeo hayo yamekuwa machungu kwao.
Katika kampeni hizo, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alikuwa
anatumia helikopta katika kampeni ambapo CCM ikiongozwa na Makamu
Mwenyekiti wa zamani wa chama hicho, Samwel Malecelea wamefanikiwa
kuitungua.
Habari za matokeo hayo zinaonesha kuwa mgombea wa CCM, Lolensia
Bukwimba amepata kura 29,349 akifuatiwa na mpinzani wake mkali wa
CHADEMA, Finisia Magessa amepata kura 21, 249 na mgombea wa CUF, Oscar
Ndalahwa kura 827 akifuatiwa na mgombea wa UDP, aliyeambulia kura 327.
Katika kinyang'anyiro hicho, CCM na CHADEMA vilichuana vikali kutokana
na kuonekana kuwa vyama vyenye upinzani mkali.
CUF ambayo katika Uchaguzi Mkuu wa 2005 ilikuwa ya pili kwa mgombea
wake kupata kura 26,000 imedorora na kuiachia CHADEMA kutamba ambayo
mwaka 2005 ilipata kura 3,000 katika jimbo hilo.
Katika uchaguzi huo watu 133,000 walijiandikishwa kwa ajili ya
kushiriki uchaguzi huo huku idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura ni
52,720.
Hdi tunakwenda mitamboni viongozi wa CHADEMA, CUF na UDP walikuwa
hawajafika kwenye eneo la majumlisho ya kura na waliokuwepo ni CCM
peke yao.
YONA MARO (MWANA bidii)
*******************************************
Mimi nadhani matatizo ni haya:
> 1. Upinzani bado kujipenyeza vijijini huko ndani kabisa. Huko kuna watu
> wanaitwa wajumbe (wale wa nyumba kumi) bado wapo hao, na wote ni CCM. So far
> upinzani haujajipenyeza kihivyo.
>
> 2. Upinzani wawaeleze wananchi, hasa wa vijijini kitu watachowafanyia pale
> wakichaguliwa, zaidi ya kusema tu pale CCM waliposhindwa.
>
> 3. Kuna tetesi kuwa baadhi ya mawakala wa vyama vya upinzani huwa wanapewa
> shinikizo la kupewa pesa ili kukubali matokeo ya kura yageuzwe kwenye baadhi
> ya vituo. Sijui hii ni kweli?.... Wadau mna info kuhusu hili?
>
> 4. Kwenye Uchaguzi uliopita wa Marekani, watu wa kujitolea (volunteers)
> walikuwa wakipita nyumba hadi nyumba kuulizia kama watu wamejiandikisha
> kupiga kura na kuwahamasisha kupiga kura kwa wagombea wao. Tz je? hakuna
> hiyo. Wanasubiri watu wawafuate viongozi kwenye mikutano ya hadhara.
>
> Kusema labda Mwalimu angejitoa CCM siyo issue hapa. Hapa watu waangalie the
> way forward.
>
> CCM haitaki katiba mpya,na as long as wao ni majority Bungeni hakuna Katiba
> mpya.
>
> Chadema inaelekea hawataki ushirikiano wa kuachiana majimbo na wenzao.
> Wao waliachiwa
> na CUF kule Kiteto na Tarime, ila wao Chadema wakagoma kuiachia CUF Mbeya
> vijijini na hata baada ya mgombea wao kuenguliwa wakawataka wafuasi wao
> wasiende kupiga kura. Wakaona afadhali jimbo lirudi CCM kuliko kwenda CUf,
> na ikawa hivyo.
(Ally Ulanga - mwana BIDII)
**********************************************
We got results from our own tally since midnight and confirmed that we have lost the Busanda election. It was a tough battle which we poised to win. I have called Mkuchika to congratulate him for the victory. CHADEMA has increased its share of votes from 4% to 44%. To us the people have spoken though we will not seat an MP in Dodoma for Busanda. The votes give us courage to go to Biharamulo strengthened and with high spirit. There are minor mistakes we shall correct, internal and external. Thanks all for your support. Vijana wamepigana sana. Ni bahati mbaya tu tumeshindwa. We have a country to run. Tutakutana Biharamulo Zitto

No comments:
Post a Comment