Friday, July 24, 2009

ANATESA UINGEREZA!

Anaitwa TOLULA ADEYEMI (24), ni binti wa Kinigeria ambaye kwa sasa anatesa nchini Uingereza kama Model, DJ na Actress! Kipaji chake kilivumbuliwa mtaani tu....!

No comments: